Baada ya kupata chanjo ya COVID-19, unaweza kuwa na athari zingine, ambazo ni ishara za kawaida kwamba mwili wako unajenga kinga dhidi ya COVID-19. Piga simu kwa mtoa huduma wako wa afya ikiwa uwekundu au upole unaongezeka baada ya masaa 24, ikiwa athari zako zinakutia wasiwasi, au ikiwa hazionekani kuondoka baada ya siku chache.Nakala: https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/videos/what-to-expect/swahili/swahili.srtKiungo cha kupakua video: https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/videos/what-to-expect/swahili/swahili.mp4
Comments on this video are allowed in accordance with our comment policy:
http://www.cdc.gov/SocialMedia/Tools/CommentPolicy.html
This video can also be viewed at